Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana. - Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda. - Interest ya Kagame katika vita za wengine. Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
8 Reactions
12 Replies
225 Views
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganiwa hii nchi...
39 Reactions
132 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Hii picha imenichekesha sana 🤣. Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana? Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana...
3 Reactions
13 Replies
34 Views
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
26 Reactions
1K Replies
35K Views
Na Bollen Ngetti 0683 226539 B-pepe bollenngeti@gmail.com SIKU tatu kabla Rais Samia Suluhu Hassan hajaelekea Korea Kusini kuhenyea kwa ajili ya nchi yake niliandika huko kwa Max (X) kwamba...
2 Reactions
29 Replies
568 Views
Kuna mkuu humu jana ameniambia kuwa huu mti(Palm) kwa kiswahili unaitwa Mkoche(Kisayansi Hyphaene Coriacea) Unapatikana pwani ya Afrika Mashariki kutoka Somalia hadi South Afrika na Namibia. Huko...
0 Reactions
1 Replies
43 Views
Wakuu mulibwanji..... Nahitaji bass spika ya mziki wa gari ambayo haina box iwe uchi. Iwe 4 ohms Iwe na double coil Na iwe na sehemu 2 za kuingizia sauti yaani hasi ziwe 2 na chanya ziwe 2. Iwe...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu wa nguvu na wana wa Mungu wana jf kibali cha Mungu kikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake Hili andiko litakua fupi sana. Jf ni ukweli na huakika siku zote, Ndugu zangu binafsi bado ni...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Baadhi ya wanachama wa Chadema akiwemo Kamanda Maranja wamesema wanashangaa kuona TV za CCM zikijazana nyumbani kwa mchungaji Msigwa kuripoti Mkutano wake Maranja amesema TBC, Channel ten, Ayo TV...
1 Reactions
19 Replies
789 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,109
Posts
49,793,368
Back
Top Bottom