Kule X jamaa tayari kafuta taarifa zote za CHADEMA kabakiza hizi.
Nahisi tatizo lako ni kumuunga mkono Tundu Lissu ndio sababu ukaletewa bilionea akung'oe.
Wewe ni mtoto wa Kimasikini hizo...
Habari wanaBodi...
Nadhani sote kwa pamoja tumeshuhudia siku za hivi Karibuni ongezeko la machapisho au taarifa mbalimbali za kuhamasisha/kupinga mmomonyoko wa maadili.
Jana Mkoani Tabora kwa...
Habari Ndugu zangu, kama taarifa inavyo eleza, kijana huyu amepotea, haonekani.
Wakazi wa Dar es salaam, Msaada kwa atakaye muona au kusikia taarifa zake.
Wanandugu tafadhali naombeni msaada wa kufahamu juu ya mada tajwa hapo juu, maana nimeona watu wengi wakijisifu kimafanikio kwa kuhusisha namba fulani ambazo wanadai wakiziona nyakati fulani...
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika
Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganiwa hii nchi...
Habari wanajukwaa la sports.
Nimejiuliza hapa sijataka kuumiza kichwa changu kutafta huko kwenye websites ya TFF na platforms zingine maana naweza kutana na majibu ya ajabu ajuae kua karia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024...
Habari za humu wanajamii,ni kwa muda sasa huwa ninamfatilia huyu mchungaju wa kkkt ushirika wa kijitonyama Mchungaji Kimaro,hadi kuna muda niliwahi kushawishika kwenda kanisani kwake.
Sasa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.