Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu.
Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
Tunampongeza sana Samia kwa kwenda na wenzie huko Korea. Itakuza sana uigizaji katika nchi yetu. Tumeona boda boda nao wameomba akienda India aende nao ili wakajifunze namna bora ya kuendesha boda...
Ndugu zangu Watanzania,
Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa...
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Baada ya kushindwa kwenye uchaguzi wa Kanda ndugu MSIGWA ameanza kutoka vimanenomaneno na vyomba vya habari kuhusu kuhujumiwa.
WEWE MSIGWA CHADEMA WANAKUJUA kwamba WEWE ni kijana wa mwendazake...
Siku ya Baiskeli Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 3 Juni. Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa ili kutambua na kuhamasisha matumizi ya baiskeli kama njia ya usafiri, burudani, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.