Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Name : XX Age : 23 gender : MALE Academy. : CERTIFICATE,GRAPHIC DESIGN Professional : DRIVER/VETA,,NIT,,RFC,,JKT,,PREPARATION OF AGRICULTURAL SEEDS,, experience : PASTA INDUSTRY, NIDA,SUMA...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30. Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
AMANI YA BWANA IWE NANYI, MUNGU AWAPAYE WATU NEEMA NA KUPE NEEMA. Kuna jambo nimeliona huku mtaani siku za hivi karibuni sijawahi kulielewa kwa undani wake kuna nini kimejificha huko. Hivi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hayo ni maoni ya jaji mstaafu. Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu. Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba...
22 Reactions
108 Replies
3K Views
Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti. Bila hivyo! Vinauchuna kama kichuguu. Morals...
14 Reactions
63 Replies
201 Views
Nakumbuka wakati wa Ujenzi wa barabara ya Makambako Songea wale wakandarasi waliiba sana Madini Wakijifanya wanaenda kutafuta Miamba ya kokoto Maporini Sema tu viongozi wa wakati Walikuwa makini...
17 Reactions
53 Replies
438 Views
Habari Mabibi na Mabwana. Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye kero, Kero hii inihusiana na usafiri wa umma kwa wakazi wa Buza ( kwa lulenge hadi kanisani) hapo awali usafiri wa dalala...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
21 Reactions
197 Replies
3K Views
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo. Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
20 Reactions
174 Replies
5K Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
75K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,005
Posts
49,791,002
Back
Top Bottom