Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, Hakuna kitu kinachoitesa, kuiumiza, kuinyima usingizi ,kuinyong'onyesha na kuipa hofu Marekani kama kitendo cha kuona mbele ya macho yake ikiendelea kupoteza nguvu na...
1 Reactions
10 Replies
61 Views
Wasaalam. 4 Juni, 2024, Dodoma. ________________ Athuman Kapuya Foundation ni shirika lililosajiliwa mwaka 2021 ambapo, kwa kipindi chote limetekeleza matakwa ya kisheria ya uwasilishaji wa...
0 Reactions
1 Replies
28 Views
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30. Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
51 Reactions
177 Replies
4K Views
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo. Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
22 Reactions
226 Replies
8K Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
33M Views
UFAFANUZI WA MKOPO WA DOLA BILIONI 2.5 AMBAO TANZANIA IMEPATA KUTOKA KOREA Mobhare Matinyi. Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali. Dar es Salaam Juni 4, 2024. Saa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Ni dhahiri Dr.Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT, anaifungua nchi kitaifa na kimataifa.... Hivi sasa, Taifa lina pumzi freshi tena mpya ya kitofauti kabisa, fursa za kila aina zimefunguka kitaifa...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Wakuu mko salama? Kumekuwa na matokeo mengi yanatokea hivi karibuni watu wanakamatwa na watu wanaojitambulisha ni polisi mwisho wa siku wanaokotwa wamekufa, polisi wakiambiwa ni wao wamefanya...
10 Reactions
20 Replies
221 Views
Na Bollen Ngetti 0683 226539 B-pepe bollenngeti@gmail.com SIKU tatu kabla Rais Samia Suluhu Hassan hajaelekea Korea Kusini kuhenyea kwa ajili ya nchi yake niliandika huko kwa Max (X) kwamba...
3 Reactions
37 Replies
935 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,128
Posts
49,793,616
Back
Top Bottom