Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

asalaam Aleykum warahmatullahi wabarakatu. Kwa heshima na Taadhima, nawaomba Baraza la malumaa pamoja na Mwenyekiti wao wauchunguze msikiti huu wa Kingo uliyopo Morogoro ambao hivi sasa upo...
0 Reactions
25 Replies
196 Views
Ni usiku mwingi Hakuna mvua hakuna upepo Jamani wanasiasa unatutafuta nini??
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Habarini! Mimi nina swali hivi wenzangu mnawezaje kukabili maisha. Najiskia kuchoka sana. Everyday I must worry about something. Yani matatizo hayaishi. Is this life? Being in constant worry and...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Tangu akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amekuwa akitatua shida za watu zinazohutaji fedha kirahisi Sana. Kuna wakati inaleta maswali, jee hizo fedha ni zake binafsi ama ni za...
11 Reactions
47 Replies
2K Views
Hebu vuta picha Mimi Kiboko ya Jiwe niwe Rais wa Zanzibar lakini wazazi wangu na ndugu zangu wako Makete unadhani ningetokwa na jasho kuwahangahikia Wazanzibar waliokubali kwa makusudi kabisa...
0 Reactions
1 Replies
17 Views
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi...
0 Reactions
3 Replies
26 Views
Huu ni mchango wa mbunge wa jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/2025 tarehe 30 Mei 2024 bungeni Dodoma. “....Serikali tarehe 16...
1 Reactions
1 Replies
44 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Maambukizi ya VVU miongoni mwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 yameongezeka kwa kiwango cha kutisha, kwa mujibu wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (Tacaids). Kulingana na takwimu...
7 Reactions
51 Replies
2K Views
CCM haipo mbali na huu ukweli, wataanza kuform serikali ya mseto kisha itaondolewa madarakani. Moja ya matamanio ya Wa TZ ni CCM kuanguka. CCM has proven failures kwenye kila sekta, na for as...
2 Reactions
5 Replies
84 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,949
Posts
49,789,676
Back
Top Bottom