Naomba kujuzwa namna ya kufuta course ambayo nimesave kwenye mfumo wa ajira portal.
Nimeweka level ya education ni diploma na nimesave but nikijaribu kufuta inakataa, lengo niombe kazi kwa...
Habari Wakuu!
Hali ni tete. Maji ya shingo pûa kwenye Ukingo wa maji.
Wanawake wengi huku mtaani wanapumulia mashine. Ingawaje wanajitutumua làkini hakuna matumaini ya kuchomoza,
Kula kwa jasho...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu.
Nauliza hivi zile chopa mbili za Ulinzi zilizokuwa kwenye msafara na chopa ya Rais wa Iran iliyoanguka
Ziko wapi?
Zilifika salama...
Nilikuwa mdau Sana wa uagizaji wa bidhaa ndogo ndogo toka nje na tayari Nilikuwa mzoefu kwenye chaguzi bidhaa ilikuwa ni nadra kupokea bidhaa isiyokuwa bora.
Na kiutaratibu ilikuwa kwa kampuni...
Who is Mohammad Mokhber, Iran's interim president?
By Reuters
May 20, 202412:19 PM GMT+3Updated an hour ago
Here are some key facts about Mohammad Mokhber, 68, Iran's first vice president who...
Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤
Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi...
Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.