Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

India wanapiga sana pesa kwa ku export kinyesi cha ng'ombe. Jamaa hawa especially Kuwait wanahitaji kilimo kikue kwa kasi huko na ardhi yao sio rutuba so wanahitaji mbolea ya kinyesi cha ng'ombe...
0 Reactions
11 Replies
233 Views
Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa. Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa...
0 Reactions
3 Replies
27 Views
MJUMBE HAUWAWI. Nimepitia comment kwenye hii post. Wanaume wanamalalamiko mengi sana yenye tiija juu ya hoja hii. Swali likanijia, je anaweza kufika Moshi na asifike kileleni? Nikaendelea...
6 Reactions
25 Replies
425 Views
Mtumishi mwenye Mkataba namba Na. SMC/CW/PF.113/3 amefika Ofisini kwetu na ameomba tupaze sauti kwa niaba yake. Hii hapa historia fupi ya malalamiko yake. Wakati wa zoezi la uhakiki wa Watumishi...
5 Reactions
19 Replies
535 Views
Yani mtu umeacha mambo yako atleast ufuatilie bunge la bajeti lakini badala yake mbunge anachangia hoja, linatokea limbunge lingine linasema taarifa, mchangiaji anakaa chini spika anampa nafasi...
1 Reactions
1 Replies
17 Views
Radio ya Kiba na kikeke imekuja na style ya drama kujitangaza. Nawashauri wawekeze kwenye content ndio kila kitu kwenye media. Leo hii clouds na wasafi zina wasikilizaji wengi sababu zina...
9 Reactions
47 Replies
1K Views
Bibie Claudia Sheinbaum anatarajia kishinda Uchaguzi wa Mexico baada ya matokeoa ya Uchaguzi kuonesha akiongiza Kwa asilimia 60% Dhidi ya Mpinzani wake Mwanaume. Huyu atakuwa ni Rais wa Kwanza...
1 Reactions
19 Replies
90 Views
DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo. Novemba 13, mwaka 2012...
5 Reactions
100 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,859,849
Posts
49,787,264
Back
Top Bottom