Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Achana na mbio za kiatu za Fei na Aziz Kila mwanasoka msimu huu ameshuhudia pazia jeusi likifunika soka la tz ambapo nyumba ya vipaji kwa soka la Tanzania ikianguka Kila mtu mtu ukimuuliza...
4 Reactions
27 Replies
552 Views
Habari wakuu Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
6 Reactions
68 Replies
710 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
16 Reactions
261 Replies
2K Views
Nilichojifunza kuhusu Africa Kusini kwenye uchaguzi wao , ni yafuatayo: 1. Kwenye uchaguzi wao wameaangalia sera zaidi, sio vyama vya siasa au utumbuizaji wa wasanii kwenye majukwaa ya kampeni...
21 Reactions
75 Replies
1K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
221K Replies
17M Views
Tunakushukuru kwa kumpa kadi moja ya njano Dickson job baada ya kufanya rafu Kali mbili kwa kipre na Fei,😀 Tunakushukuru kwa kumuacha aucho baaf rafu mbili pia na Ibrahim baka ambaye mwishowe...
2 Reactions
22 Replies
252 Views
Najua Nyinyi Wakristo huwa Mnaswali kwa Mungu mkipitisha sala hiyo kwa Yesu Kiristo kwa kuwa yeye anatekeleza jukumu la kuwa mpatanishi kati yenu na Mungu Mwenyezi; Je ni hivyo kweli mnavyotakiwa...
1 Reactions
6 Replies
59 Views
Hii ndiyo Taarifa ambayo imepatikana siku ya leo, Kiula amewahi kuwa Mbunge wa Iramba na waziri wa Ujenzi (1985 - 1995) Buriani Mzee Nalaila Lazaro Kiula; Mwadilifu aliyeponzwa na Mfumo kifisadi...
9 Reactions
94 Replies
9K Views
Jaribu kufanyia Utafiti utaelewa Hata Nchi ya jirani ya Zanzibar ni mfano mzuri Rais akiwa mwislamu basi Vijana wao huwa na fursa ya kuingia madarakani tofauti na Wagalatia Nadhani huu ni...
13 Reactions
42 Replies
842 Views
Ndio kwanza nipo Episode ya 5 kati ya 10. Ila hii series kali. Kupewa rate ya 8.7/10 haki yake.
1 Reactions
7 Replies
110 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,632
Posts
49,782,254
Back
Top Bottom