Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku.
Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii.
Anyway tutafute pesa kwa kasi sana
Binafsi nimefarijika Wasanii wetu kupelekwa Korea Kusini kujifunza mambo ya Sanaa za Uigizaji
Ukiangalia Tamthilia zetu na Sinema zimejikita katika mambo ya kipuuzi tu hasa Mapenzi na zote...
Majira ya saa 6 za mchana (sawa na saa 10 jioni Indonesia), vijana wa Taifa Stars watamenyana na timu ya Taifa ya Indonesia katika mechi ya kirafiki.
Uwanja ni ule ule GBK Madya Stadium (Gelora...
Tangu kung'olewa kwenye kiti cha Uspika wa Bunge, mbunge wa jimbo la Kongwa Job Ndugai hachangiagi chochote bungeni wala kuwasemea wananchi wake wa Kongwa!
Hotuba mbalimbali za bajeti kuu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.