Kwa wale waliomponda Robot Eunice habari hii njema iwafikieni
Robot Eunice atakuwa mwenyeji wa Shindano la Robot barani Africa
Watanzania tembeeni Vifua mbele
Mlale Unono 😀😀
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe
Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa...
Peace,
Yani helcopter 3 zinasafiri katika ukungu ulioripotiwa na wataalamu wa anga na aviation kua "dhaifu na wa kawaida" alafu 1 kati ya chopa 3 inaanguka. Na tena inayoanguka ni "chopa ya rais"...
Basi mazee nikapata demu flan hivi mngoni. Kila nikinyoosha goti ametulia tu hatikisiki wala nini, ikabidi nimuulize nikufanyie nini ili uridhike, akacheka kidogo harlafu akanionesha kijiti cha...
Kwanza nitoe pole Kwa taifa la Iran Kwa kumpoteza Kiongozi wao,
Pili, inafaa Ulinzi uimarishwe Kwa Ayatollah Ali ili kumlinda na mashambulizi ya maadui ambao dunia inawajua Ila ndo vile
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Tafadhalini sana mnisaidie utaratibu sahihi wa kujiunga na dini ya mayahudi yaani Judaism
Nimevutiwa sana na dini hiyo siyo tu kwa uwezo...
Salaam, Shalom!!
Miaka ya zamani kidogo nilikuwa katika Taasisi Moja kubwa, Kuna kiongozi mmoja kazini akanialika twende tukapate supu ya mbuzi,
Tulipofikia eneo lile kumbe Bana, supu ya mbuzi...
Tuzo hii itakuwa kivutio kwa mabinti na itakuwa chachu ya mabinti kutunza usichana wao mpk siku ya ndoa.
Tunzo hii iendeshwe nchi nzima kila ngazi "ngazi msingi" i.e kila kitongoji/mtaa. Vyeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.