Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
13 Reactions
102 Replies
1K Views
Tangu kung'olewa kwenye kiti cha Uspika wa Bunge, mbunge wa jimbo la Kongwa Job Ndugai hachangiagi chochote bungeni wala kuwasemea wananchi wake wa Kongwa! Hotuba mbalimbali za bajeti kuu ya...
18 Reactions
109 Replies
3K Views
Ningependa kujua kuhusu utaratibu wa NHIF kusajili watoto wa shule za serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi. Awali, NHIF ilikuwa inasajili watoto ambao hata siyo wanafunzi kwa bei ile ya Tsh 50,400...
2 Reactions
11 Replies
108 Views
Hii ndio taarifa ninayoitoa leo kwa Wapenda soka wote na hasa kwa Mashabiki wa Yanga . Baada ya Mayele kulazimishwa kuuzwa ili viongozi wa Yanga wapate Pesa, nataka wale viherehere wote wa Yanga...
8 Reactions
100 Replies
6K Views
Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku. Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii. Anyway tutafute pesa kwa kasi sana
16 Reactions
58 Replies
993 Views
Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya...
13 Reactions
28 Replies
543 Views
Majira ya saa 6 za mchana (sawa na saa 10 jioni Indonesia), vijana wa Taifa Stars watamenyana na timu ya Taifa ya Indonesia katika mechi ya kirafiki. Uwanja ni ule ule GBK Madya Stadium (Gelora...
6 Reactions
31 Replies
284 Views
Hawa waliingia siasa Kwa pupa na kuabudu baadae mfumo umewatema bila huruma Wapo wapi Kwa sasa?
1 Reactions
9 Replies
259 Views
Kuzaliwa kwa mtoto inapaswa kuwa tukio la furaha kwa familia na jamii nzima badala ya huzuni hasa pale inapotokea kupoteza mtoto, mama au wote kwa pamoja. Tunaendelea kuifanya kazi ya kuboresha...
2 Reactions
8 Replies
232 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,461
Posts
49,776,076
Back
Top Bottom