Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Majira ya saa 6 za mchana (sawa na saa 10 jioni Indonesia), vijana wa Taifa Stars watamenyana na timu ya Taifa ya Indonesia katika mechi ya kirafiki. Uwanja ni ule ule GBK Madya Stadium (Gelora...
6 Reactions
34 Replies
334 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
43 Reactions
52K Replies
3M Views
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga. Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
49 Reactions
349 Replies
7K Views
Hello JF... Wewe ni mtu muhangaikaji kama wengine hapa mjini. Mtu anakulilia shida hasa ni nduguzo. Unamsaidiaga mara kwa mara pale unapokuwa nacho. Ila shida ni moja siku ukisema bana sina. Hapo...
5 Reactions
12 Replies
203 Views
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
13 Reactions
104 Replies
2K Views
Hawa waliingia siasa Kwa pupa na kuabudu baadae mfumo umewatema bila huruma Wapo wapi Kwa sasa?
1 Reactions
18 Replies
348 Views
Wiki kadhaa zilizopita TANESCO walikuja kwangu kubadili mita (niliwaita kutengeneza kutokana na mita kuwa inajizima yenyewe, walipoitazama wakasema lazima iwekwe mpya) hivyo wakasema watakuja watu...
0 Reactions
2 Replies
73 Views
Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku. Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii. Anyway tutafute pesa kwa kasi sana
17 Reactions
62 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,461
Posts
49,776,156
Back
Top Bottom