Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku.
Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii.
Anyway tutafute pesa kwa kasi sana
Kumekuwa na kelele mitandaoni kuwa Jude Bellingham anastahili kutwaa tuzo ya Ballo d’or
Msimu huu kwenye Uefa kuanzia hatua ya mtoano mpaka Madrid wanabeba taji sijaona mchango wake walau hata...
Habari wanajamvi
Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu
Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
Hii sio kutoka kwa janabi hii ni kutoka kwa Wataalamu wanasayansi wa mambo ya lishe wanapendekeza Saizi ya kawaida ya mchele kwa watu wazima ni ½ kikombe cha mchele uliopikwa.
Size hio ni sawa na...
Dua la kuku halimpati mwewe,ndivyo unaweza izungimzia baada ya kuangumia kwenye Kombe la shirikisho ambako nako itakutana na Vigogo walishindwa kufuzu Club Bingwa Africa.
Simba iniandae na Wydad...
Tangu kung'olewa kwenye kiti cha Uspika wa Bunge, mbunge wa jimbo la Kongwa Job Ndugai hachangiagi chochote bungeni wala kuwasemea wananchi wake wa Kongwa!
Hotuba mbalimbali za bajeti kuu ya...
Majira ya saa 6 za mchana (sawa na saa 10 jioni Indonesia), vijana wa Taifa Stars watamenyana na timu ya Taifa ya Indonesia katika mechi ya kirafiki.
Uwanja ni ule ule GBK Madya Stadium (Gelora...
Nawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni.
CHADEMA.
====
CHADEMA msiweke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.