With 99.03% of votes counted, ANC is at 40.3%. It has lost parliamental majority.
ANC wanaona aibu kuwafuata DA (wazungu) kuwaomba kufanya coalition. Ni kama wanarudisha kwa mkoloni kuwa mambo...
My people how's weekend?
Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari.
Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana...
Morning members.
Kuna hali nisiyoielewa siku za hivi karibuni kwa wasichana wengi kula nauli halafu hawaendi.
Malalamiko ni mengi watuma nauli wanalalamika nauli zao kuliwa bila kuona midoli...
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.
Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini...
Mimi nimekuwa nikifanya biashara ya kuuza kuku muda mrefu ila localy Yani masokoni kwa kununua kwa jumla na kuuza rejareja, katika kutaka kutanua wigo wa soko langu yani kupata wateja wapya...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu ameanza ziara jimboni Iramba na kushangaa kukosekana Huduma za Maji
Lissu anasema Mbunge wa Iramba ni Waziri wa Fedha lakini Jimbo lake halina Maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.