Muda mchache ujao, saa 4:00 Dortumd watamenyana na Real Madrid katika dimba la Wembley pale London.
Ni fainal ya Uefa Champions League, karata yako unampa nani? Twende kazi…
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd.
Mkataba huo wa miaka 30...
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga.
Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
Jitu umelitongoza kabla halijazaa likakukataa, saa hizi lina mtoto ndo linajifanya kujali, kuonesha mapenzi, na kuhoji upumbavu upumbavu, lenyewe lipite hivi. Wanaume tusikubali kuchezewa na hawa...
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.
Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini...
Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea.
Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese...
Habari!
Kila mtu anaweza kufanya backup ya habari ya saa 20:00 tarehe 31, Mei 2024. Ni habari nambari 2 kama sijakosea.
Nilisikia Makamu wa Rais anawaomba wafanyabishara wapunguze bei ya gesi...
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.