Yaani imekuwa kama keroo sasaa mnafanya wengine tusiende makanisan
Yaan kuna viongozi kila ukisikia ibada mahubiri yao 50 perc wanaanza kukandia wach wa mafuta sijui mkaa sijui majivu ooh...
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
Rais wa Iran ameteketea. Hata hivyo ni taifa gan lipo salama? Marekani walishambuliwa palepale Pentagon (makao makuu ya ulinzi) na WTC ambako maelfu waliuawa. Israel walishambuliwa palpable na...
Uwepo wa Cheo Cha Naibu Rais(Deputy President) na sio Makamu Rais (Vice president) kimeendelea kuwa Kaa la moto kwenye Uongozi wa Nchi ya Kenya Kwa kuzuia mizozo ya mara Kwa mara.
Huko Kenya Cheo...
Inaposemwa Mungu si Asumani wengine huwa hawafahamu maana yake.Sisi wengine tunaomfahamu Mungu(Allah) pamoja na ugumu tuliouona tulijua kuwa mwishowe Hamas ndio watakaoshinda vita kati yake na...
Hatimaye, timu ya Pamba Jiji ya Mwanza imefanikiwa kurejea tena Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji, Mbuni FC katika mchezo wao wa mwisho wa Ligi ya NBC...
Form 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo...
Salaam, Shalom!!
Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani.
Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi?
Jina la Mungu ni nani?
Karibuni 🙏
Iko hivi ktk maswala ya kivita sio ukubwa wa nchi au wingi wa watu ulio nao ila niuwezo wa kivita pamoja na ujasusi.
Ktk kile kilicho onekana sio kitu cha kawaida Israel walishambulia sehem ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.