Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee.
Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu.
Jana...
Nilikuwa nataka kulala, ghafla nikaona taarifa kwa Miladiii eti 👇🏽
"Kila laini ikatwe Sh50, kwajili ya matengenezo ya Barabara"
Aisee imenibidi niahirishe kulala kwanza 😥🙌🏽.....NIMELIA SANA
Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905
League: Premier League
Website: ChelseaFC.com
Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel.
Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
ni simple advice. hii nimeiyona South africa. phone company imeweka hela kila msimu kuna mtn 8. team 8 za juu zina compete for mtn championship. na jezi sponsors kabisa
note :
tigo, vodacom...
Songwe. Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mwanamke mmoja na mtu mwingine anayedaiwa ni hawara yake kwa tuhuma za mauaji ya mme wa mwanamke huyo kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi...
Kwa Ufupi,
Mara tu baada ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuapa tarehe 19 March 2021 akamteua David Kafulila kuwa mkuu wa Mkoa Simiyu.
Kafulila akajielekeza moja kwa moja kwenye kupambana na...
Mimi huwa nachanganyikiwa na hili suala la kusema ISIs, Boko Haram, Al Shabab, Is, Hamas hivi vikundi ukivisema mabaya yake ya wazi kabisa huwa wanakimbilia kusema viliundwa na Marekani lakini...
Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.