Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sugu amembwaga Peter Msigwa kwenye uchaguzi wao wa Kanda. Aidha Wenje nae alimbwaga Pambalu kwenye uchaguzi wa Serengeti Ukweli ni kwamba Wagombea wa Tundu Lissu kina Msigwa na Pambalu...
3 Reactions
23 Replies
343 Views
kufuatia utumbo huu (mistakes) uliofanywa na TFF na Bodi ya ligi inaonesha dhahiri kabisa hakuna watu weledi na wanaojua uongozi wa mpira kitu kama 1) kuamuru mechi ya fainali ya FA kuchezewa...
6 Reactions
16 Replies
377 Views
Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa...
15 Reactions
189 Replies
6K Views
Habari Wakuu. Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara...
27 Reactions
241 Replies
5K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Wakuu habari za mda huu, naomba kufahamu TCAA mtu wa Diploma of aviation aweza kulipwa kiasi gani na jinsi wanavyofanya kazi, maana nimeona nafasi sehemu. ASANTENI.
3 Reactions
26 Replies
300 Views
Katibu mwenezi wa CCM Taifa bwana Paul Makonda akiwa analia kwenye kaburi la Hayati Magufuli wilayani Chato ameapa hatakuja kumkana wala kumsaliti Hayati Magufuli hata kama atawekewa bastola...
35 Reactions
205 Replies
18K Views
Wanaosema uongozi wa Yanga unaongozwa kisera na viongozi wao ni Ma check bob wapo sawa, uongozi makini usingeweza kumsajili mchezajinkwa 400m na kumpa mkataba wa miaka miwili pekee Msimu wa...
0 Reactions
2 Replies
12 Views
Serikali kupitia mamlakaya mawasiliano nchini TCRA inahimiza wabunifu kubuni huduma mbalimbali za kiteknolojia ili kuchochea kasi ya maendeleo na kuboresha huduma ili kurahisisha maisha Lakini...
2 Reactions
15 Replies
154 Views
Ukitaka kupata tikiti lenye ladha nzuri i mean tamu, basi chagua lile lililo kubwa kubwa.Hii kitu ni ukweli mtupu, huwezi kulinganisha ladha ya tikiti dogo (hata kama limekomaa) na tikiti...
2 Reactions
143 Replies
20K Views

FORUM STATS

Threads
1,858,500
Posts
49,748,515
Back
Top Bottom