Mbunge wa Viti Maalum Santiel Eric Kirumba ameishauri Serikali kuweka makato ya Tsh. 50 kwa kila laini ya simu kwa ajili ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) ili kuuwezesha kuwa na makusanyo...
Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool.
Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Houthi wanaotawala eneo kubwa la Yemen wametungua tena ndege jeshi ya USA aina ya MQ-9 ambayo thamani yake ni dola 30mln.
Taarifa rasmi ya msemaji wa jeshi na video ya hatua nzima ya kuipiga...
1. Marioo
2. Harmonize
3. Jay Melody
4. Mbosso
5. Jux
6. Chino
7. D. Platnumz
8. Zuchu
9. Alikiba
10. Nandy
Hizo takwimu ni kutokana na performance zao huku mtaani ndani ya miaka mitano ya hivi...
Habari, mimi nimeoa nina mke na nimezaa nae watoto wa nne, mke wangu ni mzaliwa wa Tanga, kuna mistake ambayo nilifanya nilijikuta natoka nje ya ndoa yangu na kuanzisha mahusiano na binti mwingine...
Kampuni ya kutengeneza magari ya BYD imezindua gari la mfumo wa Plug-in Hybrid Electric Vehicle (PHEV) PHEV ni magari ambayo yana mifumo miwili umeme na mafuta.
Kwa maneno rahisi kama chaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.