Habari za muda ndugu zangu,
Mimi ni mpenzi wa nature naombeni mnitajie sehemu nzuri zenye nature kama milima, bustani za maua, miti, camps, beach ambapo zinafaa Kwa honeymoon, vacation zenye...
TAFSIRI BINAFSI JUU YA KIFO CHA HAYATI JPM KATI YA MSITU MNENE WA TAFSIRI MBALIMBALI NCHINI.
Na Eng. Bishanga G.C. (Edc.facilitator & MP aspirant ) :Kyerwa, Kagera, Tanzania ๐น๐ฟ...
Mbunge wa Viti Maalum Santiel Eric Kirumba ameishauri Serikali kuweka makato ya Tsh. 50 kwa kila laini ya simu kwa ajili ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) ili kuuwezesha kuwa na makusanyo...
Nimeona bajeti ya hizi Wizara mbili, Wizara ya Ulinzi ina bajeti kubwa kuliko hata Wizara ya Ujenzi. Nadhani ni jambo jema kwa kuwa majemedari wanatakiwa kushinda bila kuinua silaha, na gharama za...
Niliwahi kuwa na binti mmoja mrembo kwelikweli toka visiwani kizimkazi.
Siku ya kwanza nikakuta kikombe kaingia nacho chooni anapiga mswaki.
Sijakaa sawa kachukua ndoo ya chooni kakingia maji...
Katikati Hali ya kushangaza sna Jana mkuu wa mkoa wa Arusha bwana Paulo makonda aliwaamuru takukuru kumkamata afsa ardhi bwan mwakyola kwa kutuhuma za kupokea rushwa kiasi Cha shilingi milion...
Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool.
Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri...
Habari za wakati huu wadau.
Neno katika kichwa cha mada hapo juu ni muhimu sana kwasababu watu wengi huamka na kwenda kufanya kazi na wanacho kipata kinaishia tumboni hatimaye kwenye shimo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.