kufuatia utumbo huu (mistakes) uliofanywa na TFF na Bodi ya ligi inaonesha dhahiri kabisa hakuna watu weledi na wanaojua uongozi wa mpira
kitu kama
1) kuamuru mechi ya fainali ya FA kuchezewa...
Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa...
Habari Wakuu.
Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara...
Wakuu habari za mda huu, naomba kufahamu TCAA mtu wa Diploma of aviation aweza kulipwa kiasi gani na jinsi wanavyofanya kazi, maana nimeona nafasi sehemu.
ASANTENI.
Katibu mwenezi wa CCM Taifa bwana Paul Makonda akiwa analia kwenye kaburi la Hayati Magufuli wilayani Chato ameapa hatakuja kumkana wala kumsaliti Hayati Magufuli hata kama atawekewa bastola...
Wanaosema uongozi wa Yanga unaongozwa kisera na viongozi wao ni Ma check bob wapo sawa, uongozi makini usingeweza kumsajili mchezajinkwa 400m na kumpa mkataba wa miaka miwili pekee
Msimu wa...
Serikali kupitia mamlakaya mawasiliano nchini TCRA inahimiza wabunifu kubuni huduma mbalimbali za kiteknolojia ili kuchochea kasi ya maendeleo na kuboresha huduma ili kurahisisha maisha
Lakini...
Ukitaka kupata tikiti lenye ladha nzuri i mean tamu, basi chagua lile lililo kubwa kubwa.Hii kitu ni ukweli mtupu, huwezi kulinganisha ladha ya tikiti dogo (hata kama limekomaa) na tikiti...
Ndugu zangu wa Yanga kama nilivyoandika kwenye kichwa changu cha habari. Siku itakayopangwa na hao wahuni kwa lengo la kutoa hizo tuzo zao, msihudhurie. Maana itakuwa haileti mantiki.
Mkifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.