Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana. Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi...
8 Reactions
155 Replies
2K Views
Habari Ndugu zangu! Nimetafuta ujauzito kwa muda mrefu bila ya mafanikio! Nimekutana na Daktari kaniambia Nina PCOS kwenye ovary mbili zote! Amenipatia metrofromin na kaniambia tu nifanye...
1 Reactions
4 Replies
40 Views
Kwa mujibu wa Ayo TV Sugu amepata 51% na kumbwaga mchungaji Msigwa aliyepata 49% Mlale Unono 😄😄🔥🌹
2 Reactions
7 Replies
32 Views
IBILISI RUDISHA FAHAMU ZETU(MIMI NA MKE WANGU). BY ISSAI SINGANO . (Singano jr). DIBAJI Saa saba mchana Frida alionekana akiingiza gari ndani ya hospitali na taasisi ya kitafiti ya Neuroscience...
4 Reactions
253 Replies
59K Views
Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama. Baada ya...
5 Reactions
75 Replies
2K Views
Wadada wa Mama Maria umejaa neema mmeukosha mtima wangu, katika maisha yangu nimebahatika ku-date na wadada kadhaa wa kikatoliki, aisee wanajua kupenda, wanajua kupenda mno, haswa awe Church girl...
1 Reactions
25 Replies
161 Views
Kila mtu anafahamu kwamaba konda aliwafanyia mabaya sana watu kipindi cha dubwana lile. Aliua, alitesa, alifinya watu mpaka akasababisha ruge akafa kwa presha baada ya kuvamia clouds na mitutu ya...
3 Reactions
26 Replies
277 Views
Ndugu zangu Watanzania, Taarifa inayoendelea kusambaa Duniani kwote na kugonga vichwa vya habari ,ni kuwa Rais wetu na Jemadari Wetu Daktari Samia Suluhu Hasssan anatarajia kufanya ziara nzito...
8 Reactions
113 Replies
2K Views
Tofauti na binadamu kuna wanyama wengine wanapiga Mgalala Hawa ni wanyama 9 wanaopiga Mgalala 1. sokwe 2. tembo 3. Popo 4. konokono 5. nyangumi 6. walarasi 7. panya 8. mjusi 9. Ngwini Na...
1 Reactions
10 Replies
28 Views
Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel. Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
3 Reactions
49 Replies
579 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,394
Posts
49,744,994
Back
Top Bottom