Wanabodi
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na kwa Maslahi ya Taifa, kila Jumatano kwenye gazeti la Mwananchi na Jumapili kwenye gazeti la Nipashe na kwenye kipindi cha KMT on Channel...
Habari za awali za helicopter iliyoanguka ikiwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi maarafu kama "the butcher of Tehran"/mchinjaji wa Tehran huenda imepokewa kwa furaha kubwa na wahanga waliowahi...
Hii kumchangia changia ili anunue gari ni danganya toto tu lkn ukweli ni kuwa Maria na wanaharakati wenzake ndani ha Chadema wanamshawishi Lissu agombee uenyekiti wa Chama wakidhani kwa akili zao...
Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini...
Baada ya viedo ya Diddy kusambaa akimpiga aliyekuwa mpenzi wake Cassie aomba radhi kupitia page yake.
Pia soma: Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie...
Salaam, Shalom!!
Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani.
Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi?
Jina la Mungu ni nani?
Karibuni 🙏
Tuzo hii itakuwa kivutio kwa mabinti na itakuwa chachu ya mabinti kutunza usichana wao mpk siku ya ndoa.
Tunzo hii iendeshwe nchi nzima kila ngazi "ngazi msingi" i.e kila kitongoji/mtaa. Vyeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.