Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Peace, Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho...
54 Reactions
335 Replies
4K Views
Hawa viumbe wako so sensitive kujua ww ni mtu wa aina gani just by looking at you, or kwenye first conversation. So pisi itakuelewa based on vitu vidogo ambavyo usingeweza kuvijua vina effect...
25 Reactions
132 Replies
2K Views
Wakuu, nipo hapa napambania kujikwamua kwenye umaskini, nipo nachakata mawazo kwa ajili ya kufanya harakati, wengi walianzia chini sana na wakafanikiwa kupata pesa nyingi. Mawazo yangu niliyonayo...
25 Reactions
133 Replies
5K Views
Habari wanajamvi Ninaomba Msaada juu ya kufunguliwa Kwa account yangu ya whatsapp iliyofungiwa burned Natumia whatsapp messenger Pelee na sikufanya chochote Kama forwarding SMS wala majibizano na...
2 Reactions
42 Replies
889 Views
Mzuka? Ndiyo haiwahusu ila ndo hivyo nataka mbeleni niweke ndani mtoto wa kichaga mmachame, maana maneno yamekuwa mengi kuhusu hawa ndugu zangu. Usajili unaanza sasa.
5 Reactions
16 Replies
76 Views
Nakuombea upone haraka urudi kwenye afya njema Pole sanaa, haupo peke yako nipo na wewe kwenye kila hatua Wakati wote umekua ukinijali mimi, ni wakati wangu kukuonyesha nakujali pia Upone haraka...
17 Reactions
183 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
520K Replies
30M Views
Wadada wa Mama Maria umejaa neema mmeukosha mtima wangu, katika maisha yangu nimebahatika ku-date na wadada kadhaa wa kikatoliki, aisee wanajua kupenda, wanajua kupenda mno, haswa awe Church girl...
0 Reactions
15 Replies
65 Views
Hivi vyuo vyetu vikuu vinatoa elimu quality kweli? Angalia wasomi waliokabiziwa hizi taasisi VIVUKO FERRY--MAJANGA ATCL----HASARA MIAKA 8 TTCL---HALI TETE HASARA TRC---HASARA...
4 Reactions
20 Replies
124 Views
Habari Ndugu zangu! Nimetafuta ujauzito kwa muda mrefu bila ya mafanikio! Nimekutana na Daktari kaniambia Nina PCOS kwenye ovary mbili zote! Amenipatia metrofromin na kaniambia tu nifanye...
0 Reactions
5 Replies
31 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,390
Posts
49,744,866
Back
Top Bottom