Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo Kuna mtu kanipigia simu nikakumbuka tukio Moja miaka kama 10 imepita Kipindi hicho ujana mwingi+ tulikua wajanja wajanja tumeshika shika vipesa si haba, npo dsm Kuna jamaa yangu ye hata tungi...
6 Reactions
29 Replies
666 Views
Ndugu zangu wanayanga na watz wengine wenye mapenzi mema na mpira wa nchi yetu Wote Leo tumeshuhudia mechi ya nusu final Crdb ukienda live hewani kutokea pale Geneva ya afrika (Arusha) Ndugu...
3 Reactions
38 Replies
764 Views
Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu. Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka...
1 Reactions
6 Replies
7 Views
MARA NNE MFULULIZO, MARA SITA KWA MIAKA SABA 2018: Manchester City 🏆 2019: Manchester City 🏆 2020: Liverpool 🏆 2021: Manchester City 🏆 2022: Manchester City 🏆 2023: Manchester City 🏆 2024...
6 Reactions
27 Replies
524 Views
Tunaosoma kundalini tunaweza kumuelewa kuwa trik za dunia zipo nyingi kuhusu dini.
9 Reactions
84 Replies
1K Views
Salaam, Shalom!! Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani. Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi? Jina la Mungu ni nani? Karibuni 🙏
8 Reactions
442 Replies
8K Views
Nadhani kwa sasa Dunia imesimama na majasusi wote Dunia wameamia Iran kunakotukio lakutisha. Baada ya mvumo na bishindo vingi sasa wenye Dunia yao wameamua kufanya yao pasipo kuwepo ushahidi...
1 Reactions
16 Replies
878 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
41M Views
Nyerere alimponza Mwinyi Mwinyi akamponza Mkapa Mkapa akamponza JK JK akamponza Magu Magu kamponza Sa100. Alieelewa andiko hili na aelewe.
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,855,275
Posts
49,657,092
Back
Top Bottom