Bado sijajua kwanini Kanda ya Nyasa inafuatiliwa namna hii, Wakati Kanda zinazofanya uchaguzi ni nyingi tu
Bali hali ya Mji wa Makambako ndio kama mnavyoona
Kama unataka matokeo ya Uchaguzi...
Nakuombea upone haraka urudi kwenye afya njema Pole sanaa, haupo peke yako nipo na wewe kwenye kila hatua
Wakati wote umekua ukinijali mimi, ni wakati wangu kukuonyesha nakujali pia
Upone haraka...
Wadada wa Mama Maria umejaa neema mmeukosha mtima wangu, katika maisha yangu nimebahatika ku-date na wadada kadhaa wa kikatoliki, aisee wanajua kupenda, wanajua kupenda mno, haswa awe Church girl...
Kila mtu anafahamu kwamaba konda aliwafanyia mabaya sana watu kipindi cha dubwana lile. Aliua, alitesa, alifinya watu mpaka akasababisha ruge akafa kwa presha baada ya kuvamia clouds na mitutu ya...
Peace,
Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho...
Tofauti na binadamu kuna wanyama wengine wanapiga Mgalala
Hawa ni wanyama 9 wanaopiga Mgalala
1. sokwe
2. tembo
3. Popo
4. konokono
5. nyangumi
6. walarasi
7. panya
8. mjusi
9. Ngwini
Na...
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.
Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
Ndege iliyomleta Rais wa Ethiopia ndio inatua hapa Chato.
Rais Magufuli na viongozi wengine wanashangilia ndege hii ya Ethiopian inapotua.
Rais Zewde anakuwa kiongozi wa tatu wa kimataifa kufika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.