Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.
Baada ya...
Msomi akipata shavu la kuajiriwa serikalini yani inakuwa raha msarehe. hatakiwi kuguswa hata akiiba anahamishiwa semehemu nyengine.hivi huu utaribu uko kwetu Tanzania tu au ni duniani kote? mtu...
Tofauti na binadamu kuna wanyama wengine wanapiga Mgalala
Hawa ni wanyama 9 wanaopiga Mgalala
1. sokwe
2. tembo
3. Popo
4. konokono
5. nyangumi
6. walarasi
7. panya
8. mjusi
9. Ngwini
Na...
Bado sijajua kwanini Kanda ya Nyasa inafuatiliwa namna hii, Wakati Kanda zinazofanya uchaguzi ni nyingi tu
Bali hali ya Mji wa Makambako ndio kama mnavyoona
Kama unataka matokeo ya Uchaguzi...
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini...
Wadada wa Mama Maria umejaa neema mmeukosha mtima wangu, katika maisha yangu nimebahatika ku-date na wadada kadhaa wa kikatoliki, aisee wanajua kupenda, wanajua kupenda mno, haswa awe Church girl...
Nakuombea upone haraka urudi kwenye afya njema Pole sanaa, haupo peke yako nipo na wewe kwenye kila hatua
Wakati wote umekua ukinijali mimi, ni wakati wangu kukuonyesha nakujali pia
Upone haraka...
Utangulizi
Nchi yetu Tanzania, kama ilivyo katika mataifa mengi, vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vyenye kemikali maarufu kama "Visungura" imekuwa changamoto kubwa. Tatizo hili limekua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.