Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Waafrika ni watu wa daraja la chini sana Duniani na hatujielewi kabisa. Hapa unajiuliza huyu angekuwa mwenzao wangemfanya hivi? Anyway, hatujui amekosa nini huyu bwana. Watasema aliiba. Ni...
0 Reactions
1 Replies
29 Views
Peace, Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho...
53 Reactions
313 Replies
4K Views
Ulikuja ukaagiza maji yawepo, maagizo yalitupwa kapuni. Waziri hawa watendaji wanatusababishia ubakaji kwa watoto na kinamama wakihangaika kutafuta maji. Tusaidie
1 Reactions
3 Replies
86 Views
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana. Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye...
4 Reactions
97 Replies
953 Views
Wakuu Magonjwa ya kuambukizwa -Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama virus,bakteria na fungus. Magonjwa yasiyoambukiza -magonjwa ambayo hayahusishi vimelea fulan kama kisukar pressure...
2 Reactions
31 Replies
715 Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
26 Reactions
347 Replies
8K Views
Nakuombea upone haraka urudi kwenye afya njema Pole sanaa, haupo peke yako nipo na wewe kwenye kila hatua Wakati wote umekua ukinijali mimi, ni wakati wangu kukuonyesha nakujali pia Upone haraka...
6 Reactions
85 Replies
538 Views
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu. Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
0 Reactions
1 Replies
5 Views
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye. Kufika makutano ya bandarini...
88 Reactions
282 Replies
12K Views
Hii trend sasa ni rasmi katika miji yote. 99% ya migahawa au cafe au vyovyote vile utakavyoiita, kwa nje lazima waweke na banda la chipsi. Na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi. Na wakila...
7 Reactions
46 Replies
756 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,358
Posts
49,743,786
Back
Top Bottom