Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huyu memba nampenda sana Mimi ni yule yule kijana wa makamo 40+ Wewe member nakupenda sana sijali watakachosema mimi na wewe mpaka kiama Nakupenda Eph kwanza hueleweki mchumba wako ni nani ...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Katika ajali niliyoipata mchana wa leo Jumamosi May 11, 2024.. Mwenyezi Mungu ameninusuru, na amenijalia ahuweni ya mapema kwenye majeraha mabaya niliopata kwenye mguu wangu wa kulia na kwenye...
17 Reactions
54 Replies
1K Views
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana. Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye...
4 Reactions
99 Replies
953 Views
Mkono mtupu haulambwi! Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili. Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na...
4 Reactions
38 Replies
688 Views
Mambo vipi apo nyuma ya keyboard, ugonile.!! Kiukweli zama zimebadilika sana ni ajabu sana wanawake sikuiz ndo wanaitisha mechi kwa kisingizio kuwa mnatest kama yaliyomo yamo kwa wachumba zenu...
11 Reactions
54 Replies
649 Views
Watumishi wengi wa umma ni watu waliojariwa kwa vimemo wengine ni mahawara wa viongozi ,watoto wa viongozi, wapwa wa viongozi ,watoto wa mahawara wa viongozi, mashemeji ,wajukuu na marafiki . Hii...
3 Reactions
23 Replies
446 Views
Ivi kuna mabasi yanayoeleweka km Tahmeed ya kwenda Maputo kutokea Dar?
0 Reactions
1 Replies
36 Views
Larry Connor ambaye ni Bilionea Mmiliki wa Kampuni za Uuzaji wa Mali za Kifahari zisizohidhishika (Luxury Real Estate) na rafiki yake Patrick Lahey aliye Mtaalamu wa uchunguzi wa kina cha bahari...
3 Reactions
24 Replies
803 Views
Sehemu zote zenye vein zinauma mikono ,kwene maungio ya miguu
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
43 Reactions
51K Replies
3M Views

FORUM STATS

Threads
1,858,358
Posts
49,743,786
Back
Top Bottom