Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, Nimeendelea kuisikiliza video ya muuguzi aliyedai kuwa ni miongoni mwa wauguzi waliompokea Lissu hospitalini siku alipokimbiziwa hapo baada ya kushambuliwa kwa Risasi na...
6 Reactions
96 Replies
2K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Wanaume wengi na vijana wengi wa humu hawana pesa ndefu wala michongo ya kueleweka kama wanawake ndo maana wanaume wa humu wamejaa makasiriko. Kila uzi wanawake, mara singo mom jamani tafuteni...
11 Reactions
107 Replies
644 Views
Katibu mkuu wa wazazi ndg Ally Hapi yupo katika mgogoro mkubwa na viongozi wa jumuiya hiyo- Tarifa zilizopo ktk mwezi mmoja amekwapua hela nyingi kwa mambo binafsi; mbabe na haheshimu viongozi...
2 Reactions
7 Replies
343 Views
Huyu bwana ni Mtumishi wa umma huko mwanza, ameng'atwa mdomo na Mkewe!
8 Reactions
56 Replies
495 Views
Imethibitishwa kuwa Raisi wa Irani alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
2 Reactions
7 Replies
56 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Shipping line wamepandisha bei ya kusafirisha mizigo katika kile kinachoitwa sababu zisizozuilika. Taarifa zao hizi hapa Toa maoni yako
1 Reactions
7 Replies
111 Views
Wiki iliyopita katika mizunguko yangu ya kusaka noti nilipanda daladala iliyokatiza Kurasini, kuna mahali magari yakasimama kuruhusu wanajeshi wengi waliokuwa wakivuka barabara kwa makundi huku...
12 Reactions
115 Replies
2K Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CRDBBankFederationCup ⚽️ Ihefu SC🆚Young Africans SC 📆 19.05.2024 🏟 Sheikh Amri Abeid 🕖 09:30 Alasiri Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC Mpira umeanza Dakika ya 1 Dakika ya 5...
6 Reactions
167 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,167
Posts
49,652,602
Back
Top Bottom