Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

wakuu habar zenu? Teknolojia ya eSim imetukomboa sisi ambao tunamiliki line zaidi ya moja za mitandao tofauti, hii teknolojia nimeipa maua yake aisee. Zaman nilikua nahangaika na kubadilisha...
3 Reactions
13 Replies
475 Views
Leo majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Azam Complex, timu ya Tanzania Prisons itajipanga mistari miwili kutoa heshima kwa mabingwa wa nchi timu ya Yanga. Baada ya hapo kutapigwa kabumbu...
2 Reactions
94 Replies
3K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
221K Replies
17M Views
Nimekaa mitaa mingi maeneo ya kipato cha kati na cha juu hata kufikia kupata kwangu. Changamoto nyingi niliyokumbana nayo ni wakati unatafuta sehemu ukakae peke yako ukatafakari hili na lile...
2 Reactions
23 Replies
105 Views
Sehemu kama YouTube hakuna mahali pana habari kwa kina kama sehemu ya comments. Hiyo ipo hivyo kwa wenzetu, ila bongo comments section huwa imejaa "Wa kwanza leo, nipeni likes zangu." Mara...
9 Reactions
16 Replies
157 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
520K Replies
30M Views
Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu. Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima...
13 Reactions
147 Replies
3K Views
Imearipotiwa kwamba Mmarekani Lisa Sparks anashikilia Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kulala na idadi kubwa zaidi ya Wanaume ndani ya saa 24 – Wanaume 919. Alifanikiwa kupata rekodi hii lakini kwa...
0 Reactions
12 Replies
214 Views
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha jela vijana watatu waliokuwa wanajishughulisha na uzalishaji na usambazaji wa pombe kali bandia. Ni...
10 Reactions
130 Replies
3K Views
Wakuu nimejaribu kuangalia kwene website yao sioni hata sehemu ya kulog in.
2 Reactions
40 Replies
224 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,946
Posts
49,733,510
Back
Top Bottom