Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hapa ndipo Mangungu na try again wanapolaumiwa na mashabiki wao Yani haiwezekani team yenye kombe Moja ifanye parade halafu team yenye makombe mawili ishindwe kufanya parade tena la nguvu kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
WanaBodi.. Kwa wale tunaofatilia siasa za nchi hii kwa ukaribu naamini tunamfatilia na Makonda katika hatua zake zote za uongozi. Anachokifanya Makonda kwa Sasa toka amerudishwa kwenye ulingo wa...
5 Reactions
16 Replies
117 Views
Kwenye hili namuunga mikono, tupa nje warudi kwao Uarabuni.... “One thing I do is, any student that protests, I throw them out of the country. You know, there are a lot of foreign students. As...
1 Reactions
6 Replies
78 Views
Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu. Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima...
3 Reactions
39 Replies
515 Views
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha jela vijana watatu waliokuwa wanajishughulisha na uzalishaji na usambazaji wa pombe kali bandia. Ni...
9 Reactions
77 Replies
2K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
383K Replies
11M Views
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana...
276 Reactions
51K Replies
18M Views
Ndugu zangu Watanzania, Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu,ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na...
4 Reactions
74 Replies
258 Views
Ni wazi kuwa vijana hawa ndio taifa la bdae. Utake usitake, hawa ndio viongozi wetu, ndio waendesha uchumi kwenye maeneo mbalimbali wa hapo bdae. Ila nikitazama mwelekeo wao na fikra zao napata...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wanawake punguzeni roho mbaya na kijicho husda, unakuta mkaka kamuelewa rafiki yako anaomba contanct zake. Mwenzio pisi kali mkaka anataka kujiweka. Wewe sasa na bichwa lako kama treni la...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,835
Posts
49,730,149
Back
Top Bottom