Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanaukumbi. Watanzania ambao wamejitolea michango yao na kuhamua kununua vyakula na madawa na misaada mingine kwa watu wa Palestina kama unavyoona hiyo picha wakiwa ndani ya Gaza bila kuogopa...
19 Reactions
78 Replies
2K Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa mujibu wa nguli wa muziki wa dansi nchini, marehemu Remy Ongalla, muziki ni burudani, furaha, huzuni, nk. Hapa anamaanisha kuwa muziki ni...
1 Reactions
3 Replies
34 Views
Wakuu JF wazima nimatumaini yangu, Nianze kwa kusema hivi, Hakuna asiyemfahamu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kipindi cha Awamu ya Tano kabla ya uchaguzi wa 2020 Kwa Huruka yake...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida...
23 Reactions
261 Replies
4K Views
Ukweli ni kwamba ukiota unafukuzwa na nyuki inaweza kuonyesha kuwa unahisi kuzidi wa na mambo mengi kichwani na huna nguvu. Nyuki mara nyingi huhusishwa na kazi ngumu Kwa ushirikiano, hivyo hii...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
WanaBodi.. Kwa wale tunaofatilia siasa za nchi hii kwa ukaribu naamini tunamfatilia na Makonda katika hatua zake zote za uongozi. Anachokifanya Makonda kwa Sasa toka amerudishwa kwenye ulingo wa...
5 Reactions
11 Replies
99 Views
Kwa wale wapenzi na mashabiki wa PAMBA timu ya Mwanza iliyopanda ligi. Timu iliyowahi kutupa furaha watu wa Mwanza na viunga vyake especially Kanda ya ziwa. Tukutane hapa kuwa tunapeana updates za...
0 Reactions
1 Replies
17 Views
Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu. Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima...
0 Reactions
11 Replies
72 Views
Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
10 Reactions
242 Replies
14K Views
Hizi e-cigarette wanazipatia wapi zinauzwa wapi mpaka zimeenea namna hii kama tu huku Mtwara nimeona watoto kundi kwenye michezo ya umitashumta wanavuta wanazo mbili je huko dar es salaam si ndo...
4 Reactions
18 Replies
354 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,813
Posts
49,729,615
Back
Top Bottom