Salaam, Shalom!!
Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani.
Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi?
Jina la Mungu ni nani?
Karibuni ๐
Straight forward, serikali Kupitia wizara ya mawasiliano na teknolojia imenunua mdoli wa kikubwa wao wanaitwa roboti.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mdoli na roboti, hili letu ni mdoli kwanza...
Niliona uzi humu eti mtu anataka afarijiwe kuhusiana na yeye kupenda huduma mpy ya Irene Uwoya.
Yalianza na jamaa aliekuwa Lugombas.
Sasa ni irene uwoya kutumia ushawishi wake kupata kondoo...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Hivi huyo Mnafiki na Msaliti aliyetusaliti sana Mechi za Yanga SC Beki Henock Inonga Baka mnambembeleza wa nini ili abakie Simba SC? Muacheni aende huko Yanga SC anakokutaka kisha nitawaambieni...
Habari wanaJF,
Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi". Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania...
Kamanda ambaye hakuna Mechi ya NBC Premier League iwe Kwa Mkapa au Chamazi anakosa sasa huo Utendaji wake hadi kufikia nae kupewa hiyo Nishani jana na IGP Wambura ni upi? Kama kuna Makamanda ambao...
Habari, mimi nimeoa nina mke na nimezaa nae watoto wa nne, mke wangu ni mzaliwa wa tanga, kuna mistake ambayo nilifanya nilijikuta natoka nje ya ndoa yangu na kuanzisha mahusiano na binti mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.