Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima...
Hivi tuseme ukweli, ni mambo mangapi mazuri ambayo RC Makonda kawatendea wamama na wanawake wanaodhulumiwa kila uchao na wengine mpaka anawajengea kwa kutozaa na kutelekezwa na ndugu zao, mbona...
Hello farmers,
Nimesikia pale Kiluvya kuna kituo cha maziwa, ningependa anayepafahamu ashee ni maeneo gani na mmiliki ni nani.
Nataka kuanza kufuga kwa ajili ya maziwa kwa hiyo nataman...
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida...
Mradi wa SGR Mwanza umesimama baada ya serikali kushindwa kulipa wakandarasi. Mmoja wa vibarua kwenye mradi huo amenambia walitangaziwa na wakandarasi kuwa hakuna pesa hivyo shughuli zinasimama...
tanzania ina watu wa ajabu sana . Yani ana matatizo kibao anawaza uchawi . List ya matatizo bodi ya ligi
1. Viwanja
2. Majukwaa
3. Wafadhili
4. 4k or hd coverage
5. App
6. Media coverage ya...
Kwema wakuu,
Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa...
Tupo mwishoni mwa ligi kuu ya NBCPL msimu huu 2023/2024 ambapo mei 28 2024 ndiyo tamati yake
hadi sasa vita vikubwa ni Aziz Ki na Feisal katika kuibuka mfugaji bora, vita nyingine ni ya AZam fc na...
Ukweli ni kwamba ukiota unafukuzwa na nyuki inaweza kuonyesha kuwa unahisi kuzidi wa na mambo mengi kichwani na huna nguvu. Nyuki mara nyingi huhusishwa na kazi ngumu Kwa ushirikiano, hivyo hii...
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike
Baada ya Uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.