Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna habari nimeiona mtandaoni,nimeona niilete jukwaani. Shirika la fedha la IMF ,litaikabidhi Tanzania mkopo wa dollar millioni 150 ili kuweza kukabiliana na kushuka kwa thamani ya shilingi...
3 Reactions
34 Replies
356 Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CRDBBankFederationCup ⚽️ Ihefu SC🆚Young Africans SC 📆 19.05.2024 🏟 Sheikh Amri Abeid 🕖 09:30 Alasiri Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC Mpira umeanza Dakika ya 1 Dakika ya 5...
5 Reactions
53 Replies
356 Views
Huyu bwana ni Mtumishi wa umma huko mwanza, ameng'atwa mdomo na Mkewe!
3 Reactions
27 Replies
173 Views
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London. Benki ya NMB imetanua wigo wa...
31 Reactions
121 Replies
1K Views
Wanaume wengi na vijana wengi wa humu hawana pesa ndefu wala michongo ya kueleweka kama wanawake ndo maana wanaume wa humu wamejaa makasiriko. Kila uzi wanawake, mara singo mom jamani tafuteni...
9 Reactions
78 Replies
477 Views
Hatujui mpaka sasa ikumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania. Kwa wabongo waliopigika...
4 Reactions
18 Replies
240 Views
Itsa WEEKEND. Tuanze nayo hivi basi ... 1BR Sarah anatafuta makazi mapya hapa jijini Los Angeles lakini kazi hii inakuwa ngumu sana. Kwanini? Pesa ndogo. Akipata panapofaa, basi kodi ni kubwa...
13 Reactions
34 Replies
656 Views
CHADEMA NI UNDER DOG WA CCM MIAKA NENDA RUDI….! Hivi karibu tumeona na kushuhudia matendo ya ajabu sana ndani ya Chadema, chama ambacho kilijitanabaisha kama mbadala wa CCM, kwamba kimefikia...
4 Reactions
15 Replies
86 Views
Lete hela ujishindie kiwanja cha ofa! Umeme upo maji yapo Eneo Wilaya ya nyamagana (jiji) Kata fumagira Ikumbukwe hamna bei kama hii maeneo haya
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ninaonesha dalili zifutazo 1. Homa kali kichwa kama kinawaka moto 2. Maumivu ya mgongo 3. Maumivu ya kichwa 4. Kuhisi kama unachanganyikiwa Kama kuna mtu ashawai pata hilo tatizo anikosoe.
2 Reactions
4 Replies
16 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,160
Posts
49,652,105
Back
Top Bottom