Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji...
Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana.
Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi...
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.
Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
Inapotokea mfanyakazi wa taasisi fulani amefanya kosa mbele za umma na akaonywa mbele za umma pia, tunatarajia taasisi anayofanyia kazi kuwajibika, kwanza kwa kukubali kuwa kosa limefanywa, kuomba...
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida...
Na sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya...
Mwenyekiti wa Baraza la Wakristo Tanzania ( CCT) Askofu Dkt. Shoo amewataka Wananchi kuchagua viongozi Wenye Hofu ya Mungu wa mbinguni
" Ukichagua Mbunge akuwakilishe Bungeni tangu siku...
Ukiacha Ufalme wa Mungu jambo la pili lililotawala hotuba, story mifano ya Yesu lilikuwa ni Pesa/Mali na uchumi. Hili alilizungumzia sana kuliko Maombi na Imani.
Zipo sababu nyingi, ila hii ni...
Habari za kazi wakuu
Kama kichwa kinavyosema, nisizunguke saana, mimi nimesoma stori nyingi tu za humu hasa zile TRUE STORY za baadhi ya member wenzetu. Je, kutoka katika stori hizo ulitamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.