NIELEWE KWA MAKINI SANA.
Mungu wa Israel
Mungu Allah,
Mungu wa wabudha,
Miungu ya kale pale misri,
Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo...
Mbunge wa viti Maalumu Mkoa wa Mbeya bibie Fyandomo amesema Mtu akienda Mbeya hawezi jua mjini ni wapi Kutokana na Mpungilio wa Jiji lenyewe.
Akaonheza kwamba watu wa Mbeya wanataka Jiji lao...
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida...
Ukiacha Ufalme wa Mungu jambo la pili lililotawala hotuba, story mifano ya Yesu lilikuwa ni Pesa/Mali na uchumi. Hili alilizungumzia sana kuliko Maombi na Imani.
Zipo sababu nyingi, ila hii ni...
Niaje waungwana
Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana.
Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi...
Kwema wakuu,
Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amewapongeza vijana watatu wa Tanzania - Dickson Mram, Matimu Mahimbo na James Amos - kwa kuibuka washindi katika mashindano ya...
Ndugu zangu leo sister alikuja kunitembelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ni nzuri.
Sasa nimemaliza kupiga picha nikajirushia na kuzifuta nikaenda kwenye recycle bin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.