Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
520K Replies
30M Views
Raia 15 waliuawa na wengine wawili kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi kwenye kanisa katoliki wakati wa ibada ya Jumapili kaskazini mwa Burkina Faso, afisa kwenye kanisa hilo alisema...
1 Reactions
88 Replies
2K Views
Natumai wazima wote,. Iko hivi, kila siku zinavyoenda ndivyo ambavyo naogopa kuja kuitwa mama hapo baadae (Mungu anisaidie niondokane na hii hofu😓🥹🙏), hiii inatokana na lifestyle ambayo namwona...
22 Reactions
284 Replies
2K Views
Kwa Wanaume wote; kuchapiwa ni Siri Yako! Kama kuna ushauri ambao sikushauri ukauombe kwa wanaume wenzako, ni huu wa kuchapiwa. Nakuhakikishia utaishia kuanikwa hadharani na zaidi utabezwa tu...
5 Reactions
30 Replies
430 Views
Ni yey pekee anaoneka Yuko serious ktk shida za raia tofauti na wengine Kila maahali anako kwenda anapokelewa na maelfu ya raia wenye shauku ya kumuona na kumlilia awatatulie shida zao Nikiwa...
5 Reactions
6 Replies
14 Views
Katika mahojiano na CNN alisema alipokuwa akifanya uchunguzi wa kuanzisha kesi dhidi ya Netanyahu, kuna kiongozi alimwendea na kumwambia waziwazi; "mahakama hii imeundwa kwa ajili ya Afrika na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ni hayo tu wakuu. Wanawake ni viumbe wasiojua wanataka nini. Nimeaibika sana asubuhi ya leo. Uso wote umefubaa, hata huruma hakuona, tena hadharani😭 Nimeonekana mjinga wa Mwisho. Ee Mola, ni nini...
5 Reactions
18 Replies
314 Views
Taja!!!!!! Note: Acha kuigiliza wenzako tafadhali
2 Reactions
34 Replies
35 Views
Sasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
33 Reactions
372 Replies
10K Views
Kama utani lakini inatokea.Ninaona yanga wanafanikiwa kuwa na ushawishi mkubwa kwa wachezaji wa Simba na viongozi waliopo. Siamini kabisa kuhusu matukio mengi yaliyotokea hasa kupitia kwa...
0 Reactions
2 Replies
38 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,703
Posts
49,725,821
Back
Top Bottom