Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
520K Replies
30M Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida...
12 Reactions
136 Replies
2K Views
Mjadala mkubwa ni hii hamisha hamisha watanzania toka kwenye maeneo yao ya asili na kuwapeleka ugenini waanze maisha mapya je kabla ya utekelezaji huo walilipwa? Kama walilipwa naamini utaratibu...
0 Reactions
3 Replies
74 Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
8 Reactions
54 Replies
2K Views
1) Hana pesa 2) Ni Mwenye hofu ya Mungu. 3) Ni mgonjwa. Nje ya hapo, bakora ni lazima😜😜
4 Reactions
43 Replies
646 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao. --- Akiwa wilayani Monduli RC Makonda...
13 Reactions
120 Replies
2K Views
Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani. Mnapiga na picha na...
24 Reactions
216 Replies
4K Views
Jimbo la Tundu Lissu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''Tundu Lissu " ndie amekuwa mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kutotoa michango kwa ajili ya maendelea...
3 Reactions
140 Replies
10K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,611
Posts
49,722,788
Back
Top Bottom