Wakuu nipo serious kama unatafuta mume either uolewe au tuishi kama wapenzi ni pm huenda tukaendana umri wangu 30's huyu nilokuwa nae kishanuka sitaki kusema kwanini kimenuka karibu
NB, hii ni...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amefunguka mazito kuhusu Bwawa la Umeme la Nyerere namna lilivyoteketeza Watu huko Rufiji.
Ameyasema hayo kwenye viwanja vya Mwembeyanga alipohutubia...
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida...
Niwashukuru members Wote kwa changamoto mbalimbali tunazovumiliana maana bila JF hakuna wa kuiambia Serikali Ukweli
JF ni Jukwaa pekee ambalo kama unajitambua unaweza kuisaidia Nchi au Jamii Yako...
Natumaini ni wazima ndugu zangu
Asante mungu kwa zawadi hi kubwa ya kihistoria kwenye maisha yangu
Kwa hakika mungu akubaliki wewe mwanamke uliebeba viumbe hivi tumboni kwako.
Hadi sasa...
Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa...
Jukwaa la love connect ni jukwaa sensitive sana.
Watu waanze kuingia kwa kuomba kupitia moderators.
Sababu kuu ni kwamba kuna members humu wanafanya jukwaa lisionekane serious kiasi kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.