Wakuu hivi ni mimi sina taarifa au vipi? mbona kila sehemu ukienda watu wanadai rushwa bila kificho? Immigration, TANESCO hata TRA. Nini kimetokea ghafla?
1. Immigration - ili upate passport...
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao.
---
Akiwa wilayani Monduli RC Makonda...
Jimbo la Tundu Lissu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''Tundu Lissu " ndie amekuwa mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kutotoa michango kwa ajili ya maendelea...
Habari.
Naomba kujua sehemu yenye tambarare mazingira ya dar es salaam maendeo ya kivule gharama ya ujenzi wa nyumba ya vyumba 3 vya kulala vyote self, jiko, dining na sebule inaweza kugharimu...
Wadau hamjamboni nyote?
Mheshimiwa Rais nashauri Mteue Paul Makonda awe Wazara ya mambo ya ndani ya nchi
Ni aina ya Kiongozi mjasiri sana, asiye na hofu kutamka ukweli hadharani bila unafiki...
ANGALIZO
Maelezo yaliyotolewa katika uzi huu ni kwa ajili ya kuelimisha na kutoa taarifa kwa umma na hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri wa kisheria. Sheria za umiliki wa silaha zinaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.