Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Natumai wazima wote,. Iko hivi, kila siku zinavyoenda ndivyo ambavyo naogopa kuja kuitwa mama hapo baadae (Mungu anisaidie niondokane na hii hofu😓🥹🙏), hiii inatokana na lifestyle ambayo namwona...
19 Reactions
240 Replies
2K Views
Huu ndio hasa ushauri wangu kwa kaka yangu mkuu wa mkoa wa Arusha. Inaonesha wazi nyota yake ya mafanikio ni kali sana na inaandamwa na kila mwenye nia njema na nia mbaya. Kwa wasomaji wa biblia...
5 Reactions
7 Replies
48 Views
NIELEWE KWA MAKINI SANA. Mungu wa Israel Mungu Allah, Mungu wa wabudha, Miungu ya kale pale misri, Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo...
2 Reactions
38 Replies
389 Views
Mambo vipi wazee? Kuna pahala panaitwa Pugu Kazimzumbwi alhamarufu Ushoroba. Ni pazuri sana kwa mkazi wa Dar au Pwani anaetaka kupumzika siku moja au weekend kuzipisha kelele za bodaboda, bajaji...
6 Reactions
11 Replies
125 Views
nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?. ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani. lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti...
4 Reactions
112 Replies
999 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
221K Replies
17M Views
Age:18 yrs old, Salary atakayo ni 80k kuendelea. Awezacho ni kulea mtoto, watoto, wazazi wa watoto hao au kuuza duka. Maelezo mengine ni inbox wapendwa
3 Reactions
14 Replies
149 Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
12 Reactions
104 Replies
3K Views
Mimi ni mwanachacha wa mfuko wa psssf namba ya uanachama 110871652 ambaye nilipoteza ajira tangu may 2023,mwaka huu mwezi wa kwanza mama yangu alipata changamoto ya maradhi ya moyo baada ya...
3 Reactions
26 Replies
316 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,682
Posts
49,724,930
Back
Top Bottom