Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
32 Reactions
366 Replies
10K Views
Natumai wazima wote,. Iko hivi, kila siku zinavyoenda ndivyo ambavyo naogopa kuja kuitwa mama hapo baadae( Mungu anisaidie niondokane na hii hofu😓🥹🙏), hiii inatokana na lifestyle ambayo namwona...
8 Reactions
105 Replies
463 Views
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida...
16 Reactions
164 Replies
2K Views
Hakika huu ni usanii mkubwa na very calculated. CCM ambayo ndio ina dhamana ya kuongoza serikali inatumia ujinga wetu kutuhadaa ili tuone wanastahili kuendelea kushika dhamana hiyo pamoja na...
4 Reactions
7 Replies
152 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
520K Replies
30M Views
SALAAM Imani ya kiyahudi ni imani iliyokuwa na ustaarabu mkubwa kwa kipendi hicho na huenda ndiyo imani iliyozaaa imani nyengine za kidini. Wayahudi akina Abrahamu, Mosses, Daudi, Isaya na...
0 Reactions
84 Replies
676 Views
Mteja ni mfalme ila kuna wakati naye huzingua na kujikuta kajivua au kuvuliwa ufalme wake na kuonekana kenge tu. Sababu zinaweza kuwa hizi. 1. Mteja anayeona duka linafanya SALE ila bila aibu...
9 Reactions
40 Replies
1K Views
Habari za kazi wakuu Kama kichwa kinavyosema, nisizunguke saana, mimi nimesoma stori nyingi tu za humu hasa zile TRUE STORY za baadhi ya member wenzetu. Je, kutoka katika stori hizo ulitamani...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Mnaoishi bara Poleni sio kidogo endeleeni kutunyima protein ya nyamaPori, senene na kumbikumbi. Tunaokaa pwani ya Bahari Hindi tunaendelea kufaidi sea food. Kibua-huyu najua maarufu sana hasa Kwa...
5 Reactions
37 Replies
745 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views

FORUM STATS

Threads
1,857,653
Posts
49,724,037
Back
Top Bottom