Kama unataka kuwa Freelancer nafasi zipo za kutosha,jinsi ya kuomba fata maelezo bila kukosea.
1.Bonyeza Hapa
2.Kisha bonyeza Hapa jisajili.
3.Kuhakiki usajili wako bonyeza hapa
3.Baada kujaza...
Wakuu nisiwachoshe sana ipo hivi.
Mimi ni kijana wa miaka 25 katika ukuaji wangu sikuwahi sana kujihusisha na masuala mahusiano yani kufanya kwangu mapenzi huwa ni nadra.
Kumaliza mwaka mmoja...
Hello farmers,
Nimesikia pale Kiluvya kuna kituo cha maziwa, ningependa anayepafahamu ashee ni maeneo gani na mmiliki ni nani.
Nataka kuanza kufuga kwa ajili ya maziwa kwa hiyo nataman...
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido...
Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao...
Wakuu si kwa ubaya!
Mi natamani kujua hili swala,,
Dini au iman fulan zimekua zikipokezana tangu dunia kuanza huja na kupotea.
Dini hupotea kwa sababu ya kuja dini nyingine yenye nguvu au itikad...
Zimekuwapo tabia mbovu mbovu za wakaazi wa Dar kuwaita wakaazi wa sehemu tofauti na Dar eti wanatoka Mikoani.
Arusha huwezi kuifananisha na Mikoa kama Njombe,Pwani,Mtwara au Songea.
Arusha ni...
Nyumbani kwangu kuna paka alijileta akapazoea wife akaniambia muache apambane na panya, binafsi siwapendi kabisa paka nimekulia uswahilini nawajuwa ni antena za wachawi.
Huyu paka hana mpango...
UTANGULIZI:
(TAARIFA YA TCRA).12 Mei 2024, mnamo majira ya saa tano asubuhi, kulikuwa na tatizo la upatikanaji wa huduma ya intanenti nchini. Taarifa za awali zimeonesha kuwa tatizo hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.