Kuna malalamiko hasa upande wetu sisi wanaume juu ya tabia moja ya kuomba hela inayofanywa na wanawake. Tabia hii imepewa jina "Kuomba hela" sababu ndicho kitendo kikuu hapo hakuna jambo lingine...
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na...
Anyways nimeelewa kwani ili TFF na Serikali iongeze Mapato ni lazima Klabu Bingwa ziende Timu MbilI Kubwa ili Mapato yapatikane Makubwa lakini pia Kuchangamsha nchi kwani kama mwakani Timu ikiwa...
Kwangu mimi ni the red wedding (episode ya the rains of castamere) pamoja na kifo cha Hodor.....
Naliaga kabisa kwenye hizi scenes 😭😭
The red wedding 💔
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama...
Maria Sarungi ni mtu hatari sana kwa usalama wa Taifa, dada huyu ambaye hana mtoto hadi leo baba yake amelitumikia Taifa kwa nguvu zote na hata serikali inamheshimu Prof Sarungi.
Maria mamake ni...
Hii haijawahi kutokea, najua unajua lakini nakujuza ujue zaidi. Rais Samia amekusanya mabilioni ya dola kwa ajili ya nishati salama.
Kwa hakika Samia ndiye Rais mwenye ushawishi mkubwa duniani...
On point, kama familia yako huwezi kupata milo mitatu kwa siku hio familia ni duni au masikini, kwaio kama unajua kabisa wewe ni mchana na usiku tu ndio unapata chakula basi work hard my bro ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.