Wasalaam wana jamvi,
Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Kidato cha nne.
1. Sifa za Muombaji
a) Awe raia wa...
Kwa mujibu wa Mtaalam wa Afya ( Daktari ) na Mwanasaikolojia aliyekuwa akizungumza Channel Ten ( ipo YouTube ) kwa wala Matomaso ( Wasiotaka ) Kuamini wakajiridhishe ni kwamba amesema kuwa Dunia...
Salute!
Nimefurahi sana kurudi tena JF baada ya kukatika kwa muda kiasi. Wengi mlinizoea kule 'Jamii Intelligence' na thread zangu za kusisimua za 'money hunters', na nilitoa ahadi ya kuwaonesha...
Nimevumilia tunavyonangwa wanaume sasa unyonge basi..Mwanaume akimwaga mbegu ndani ya dakika2 mnasemavanatatizo,je mwanaume unayemsuguwa ndani nje mara10tu ameshakojowa ndani ya dakika2 na anasema...
Maria Sarungi ni mtu hatari sana kwa usalama wa Taifa, dada huyu ambaye hana mtoto hadi leo baba yake amelitumikia Taifa kwa nguvu zote na hata serikali inamheshimu Prof Sarungi.
Maria mamake ni...
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na...
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF.
Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu.
Unajiuliza nini hiki sasa.
Sio mbaya kujaribu pengine ikawa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.