Wanabodi:
Niwaletee mkasa huu wa kipekee unahusiana na pilika pilika za kujikinga na COVID-19 umemtokea jamaa yangu Jumapili ya tarehe 19/04/2020 akiwa Kanisani kwake
Muhimu: Uzi huu unawafaa...
Mbunge wa Jimbo la Gairo Ahmed Shabiby akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2024/25 Bungeni Jijini Dodoma leo May 23,2024 ameiomba...
Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.
Wanaume wenzangu naomba mtambue kwamba kama kuna kipindi ambacho unatakiwa kuonyesha mapenzi ya kiwango cha SGR / mapenzi ya hali ya juu ya kujali sana ni pale mkeo anapokuwa mjamzito.
Kipindi...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania inayonipa uhuru huo
Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja Kwa moja Rais wetu...
MSAADA TUTANI: OMBI LA KUWASILIANA NA WATOTO WALIOPO UINGEREZA KWA ZAIDI YA MIAKA 22 SASA.
Picha za awali za wahusika wa waraka huu ikiwa ni pamoja na watoto Amina na Seleman Kichawela na Bw...
Kama ilivyo Kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, Majenerali wastaafu, mwenezi na Wakuu wa Mikoa. Madiwani nao wanastahili vyombo vya usafiri vyenye hadhi.
NB: hizi gari zitarahisisha kumtembelea miradi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.