Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Pole kama hauko sawa, Mungu akufanyie wepesi. Moja kwa moja kwenye mada Binafsi nina mchumba wangu namhudumia kila kitu ambacho mwanamke yeyote aliyekamilika ataitaji pamoja na kuwa ni mwajiriwa...
0 Reactions
12 Replies
129 Views
Jina la kwanza kuwekwa hadharani ni la huyu Dickson Matata, ambaye ameteuliwa kuwania uenyekiti kanda ya Magharibi. Dickson Lucas Matata Ameteuliwa na Kmati Kuu ya Chama kugombea nafasi ya...
3 Reactions
21 Replies
404 Views
Huku vita kati ya Hamas na Israel vikikaribia kuvuka miezi 7 siri zaidi za udhaifu wa jeshi la Israel zinaendelea kufichuka. Pamoja na kusifiwa kwa ubora wa vifaa na ukubwa wa jeshi la Israel...
0 Reactions
8 Replies
388 Views
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo"...
6 Reactions
65 Replies
627 Views
Kumekuwa na ongezeko la ufaulu wa wanafunzi wanaohitimu kidato cha nne na cha sita mwaka hadi mwaka na serikali imekuwa ikipongezwa kwa kuongeza ufaulu mwaka hadi mwaka Hata hivyo hali imeguaka...
0 Reactions
1 Replies
55 Views
Naomba leo anayejua anieleweshe hapa, kwa nia nzuri kabisa. Yesu alisema tuombe kwa kupitia Jina lake, inakuwaje watu wanaomba kupitia maria? naangalia tumaini tv hapa padre akasema tuombe kwa...
0 Reactions
10 Replies
101 Views
Unakumbuka siku ile vijana wanamfuata Yesu na kumwambia Kuhani Mkuu anataka kumuua kwahiyo aondoke Yesu aliwajibu? “Nendeni mkamwambie huyo mbweha hivi: ‘Leo na kesho ninafukuza pepo na kuponya...
17 Reactions
50 Replies
900 Views
Balozi wa USA Tanzania bwana Battle amemimina sifa kemkem Kwa Rais Samia Kwa jinsi ameimarisha Demokrasia na uhuru wa kujieleza Aliyoleta mifano jinsi Vyama vya Upinzani hasa Chadema vilivyo huru...
2 Reactions
17 Replies
181 Views
Abadni sitapingana na vitabu vitakatifu ambavyo vinaamini uwepo wetu katika dunia ni wenye lengo la kumuabudu mungu,quran inasema sikuwaumba majini na binadamu isipokuwa waniabudu. Binafsi...
2 Reactions
8 Replies
66 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,858
Posts
49,642,955
Back
Top Bottom